musicas.mus.br

Letras de músicas - letra de música - letra da música - letras e cifras - letras traduzidas - letra traduzida - lyrics - paroles - lyric - canciones - MAMBO MATANO - LADY JAYDEE - música e letra

Utilize o abecedário abaixo para abrir as páginas de letras dos artistas

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

Mambo Matano letra


Nazi alitia kwenye chai
Ghafla disco likaingia masai
Kumbe mwenzake nilifocus mbali
Mmh, na kunifikia inataka utayari

Si alitaka mwenyewe kutengana na mimi
Hivi mwembamba ama mnene hebu semeni nyinyi
Na zile tambo za mujini pindi yupo na mimi
Saivi viatu anchanganya na vyombo natia kabatini

Mnasemaje huko
Yuko sawa mnielezee
Ama mnamwonaje
Anajikongoja dozedoze

Moja, mi huwaga sina presha
(Leo sisemi sana, nina mambo matano)
Pili, mjini sijaja kucheza
(Leo sisemi sana, nina mambo matano)
Tatu, sifundishwi kupenda
(Leo sisemi sana, nina mambo matano)
Nne, sirudishi mateka
(Leo sisemi sana, nina mambo matano)

Mi huwaga sina presha
(Leo sisemi sana, nina mambo matano)
Pili, mjini sijaja kucheza
(Leo sisemi sana, nina mambo matano)
Tatu, sifundishwi kupenda
(Leo sisemi sana, nina mambo matano)
Nne, sirudishi mateka
(Leo sisemi sana, nina mambo matano)

Tano, moyo wangu mi ni treasure!

Huku mwenzake naenjoy
Naongezeka thamani
Apa nilipo mnitoi
Mana naiona amani

Naiona fursa, naiona future
Nishaweka nukta, naenjoy!
Naiyona true love, naliona huba
Na sipotezi muda

Mnasemaje huko
Yuko sawa mnielezee
Ama mnamwonaje
Anajikongoja dozedoze

Moja, mi huwaga sina presha
(Leo sisemi sana, nina mambo matano)
Pili, mjini sijaja kucheza
(Leo sisemi sana, nina mambo matano)
Tatu, sifundishwi kupenda
(Leo sisemi sana, nina mambo matano)
Nne, sirudishi mateka
(Leo sisemi sana, nina mambo matano)

Mi huwaga sina presha
(Leo sisemi sana, nina mambo matano)
Pili, mjini sijaja kucheza
(Leo sisemi sana, nina mambo matano)
Tatu, sifundishwi kupenda
(Leo sisemi sana, nina mambo matano)
Nne, sirudishi mateka
(Leo sisemi sana, nina mambo matano)

Tano, moyo wangu mi ni treasure!

Lady Jaydee - Letras

top 30 músicas

©2003 - 2026 - musicas.mus.br